Pages

Thursday, July 14, 2011

MALAIKA....MWANZIRISHI WA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA MAKALALA...NA MWANAE MCHANGA JACOPO!



Mwanzirishi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Makalala, akiwa na mtoto wake Jacopo ...ambaye amejifungua hivi karibuni hapa Cesena. Malaika ambaye ameolewa na Mtanzania Rogger, na kwasasa wapo kwa muda hapa Cesena kwa kumlea mtoto wao huyu, baada ya kukua kidogo Jacopo...watarudi tena huko Makalala. Nasi tunamtakia Jacopo makuzi mema, kila laheri nyingi Mama na Baba Jacopo!
-Bado tunawahitaji sana huko Makalala!


0 idadi ya maoni: