Pages

Friday, March 11, 2011

MAISHA YANAENDELEA TU!....HAPA NI MTO SIMIYU.

Hapa kuna kuoga humo humo, kunawa humo humo, kufua humo humo, kuoshea vyombo humo humo, kunyweshea mifugo humo humo, kujisaidia humo humo, na hata maji kwa matumizi ya nyumbani, kisha maji hayo yanatiririka kuelekea Ziwa Victoria....na hatujui kabla ya Ziwa Victoria maji haya labda yanapitia vijiji vingine tena kama kawaida ya mito mingi.....Watanzania kazi bado tunayo sana ili kujikomboa na mambo kama haya.

- Picha na Gsengo, wa Mwanza.

0 idadi ya maoni: