Pages

Wednesday, March 9, 2011

BIASHARA BADALA YA SHULE......SI HAKI YAO KABISA!

Watoto ambao majina yao hayakuweza kufahamika mara moja, wakiuza miche ya miti...wakati ambao walipaswa kuwa shule.

-Wazazi, Walezi na sisi sote Jamii kwa ujumla tuwe makini na maswala kama haya....hata kama ni hali ngumu ya kimaisha, lakini isiwe sababu ya kuwafanya watoto wetu waache kwenda shule...ambapo ni haki zao kabisa! na kufuata biashara. Tabia hizi zikomeshwe kabisa!

-Picha na Nathnaiel Limu.

0 idadi ya maoni: