Pages

Friday, May 21, 2010

WANAFUNZI WA IRINGA INTERNATIONAL SCHOOL WAKIFANYA UTAFITI WA MAJI.







Wanafunzi wa darasa la nne wa Iringa International School wakifanya ziara ya utafiti juu ya suala la uhaba wa upatikanaji wa maji.
Waliwatembelea wanafunzi wanzao wa darasa la nne katika shule ya msingi ya Nduli, iliyopo Isimani nje kidogo ya Iringa mjini.
-Mjengwa.



No comments:

Post a Comment