Pages

Thursday, May 6, 2010

BEACH ZA USWAZI HIZI NI HATARI KWA AFYA ZA WATOTO!

Watoto wakicheza katika dimbwi la maji machafu yaliyotuama kwa muda mrefu, eneo la Gongo la mboto Jijini Dar es salaam, bila ya Wazazi au Walezi kuwakataza wasicheze hapo, kuwa wanaweza kupata mgonjwa mbalimbali.

-Wazazi na Walezi tujihadhari na watoto wetu wanapocheza michezo kama hii ambayo inaweza kuwaathiri ki Afya.

-Picha na Geofrey Stanslaus.

0 idadi ya maoni: