Pages

Thursday, March 25, 2010

MTOTO YATIMA BONNY WA MAKALALA CHILDREN'S HOME MASOMONI MAFINGA.

Mtoto Bonny wa Makalala Children's Home, masomoni huko Mafinga katika shule nzuri ya; SOUTHERN HIGHLANDS. Hii yote ni shukrani sana kwa wafadhili walio mfadhili mtoto huyu yatima, na shukrani nyingi sana zimwendee mwanzirishi wa kituo hiki cha Makalala Children's Home (Malaika Giovannini).

0 idadi ya maoni: