LA MANO - GUIDA DELLA MAMMA... Mkono wa mama unao tuongoza tukiwa wadogo katika haya maisha. Msemo usemao mama ni mama, ninaupenda sana. Maana mama yako anabaki kuwa mama hata ukikua, kwa mambo mengi aliyokutendea ukiwa mdogo. Akina mama ndio waongozaji daima kwa watoto wao kwa upendo na malezi mazuri waliyo nayo.
Mimi binafsi nawaheshimu sana akina mama wote katika dunia hii, maana kazi waifanyayo kwa watoto wao si kazi ndogo, ni kazi inayostahili sana pongezi.
HONGERENI SANA AKINA MAMA KWA MALEZI BORA KWA WATOTO WENU.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment