Pages

Tuesday, March 30, 2010

MIAKA INAKIMBIA KWELI KWELI NA WATOTO WANAKUA KWA KASI.

PICHA YA SASA YA TIM.


NIKIWA NAE AKIWA MDOGO ZAIDI.
Miaka inapita kwa kasi na watoto wanakua kwa haraka kweli, mtoto huyu Tim ni wa rafiki zangu wa huko Monguelfo, juzi juzi alikuwa mchanga sasa tayari kakuwa mpaka nimeshaangaa, jana nilipata salamu na picha hiyo ya hapo juu, kutoka kwa mama yake, kuwa wananisalimu; nimeshangaa kakua kwake kwa haraka hivi, lakini nimefurahi sana,maana malezi bora na matunzo bora ni mhimu sana katika ukuaji wa watoto wetu. Salamu sana kwa wazazi na walezi wote duniani, kuzingatia sana utunzaji vyema wa watoto.



No comments:

Post a Comment