Pages

Monday, February 22, 2010

NDANI YA MAKALALA CHILDREN'S HOME - MAFINGA - IRINGA.

Watoto yatima wa Makalala wakifurahia kwa kuota jua la asubuhi, katika kiukuta cha banda la wanyama kituoni hapo, maana Makalala-Mafinga baridi si mchezo hasa wakati wa asubuhi na jioni.

0 idadi ya maoni: