Pages

Tuesday, February 9, 2010

MWANZIRISHI WA MAKALALA CHILDREN'S HOME: MALAIKA.

LA FONDATRICE DI MAKALALA CHILDREN'S HOME: MALAIKA. Huyu ndiye mwanzirishi wa kituo cha watoto yatima cha Makalala. Mwanadada Malaika Giovannini kutoka Cesena - Italy. Hapa akiwa na watoto wake wa kituo hicho cha Makalala Children's Home.
Tunakushukuru sana dada Malaika kwa upendo wako kwa hawa watoto wasio na wazazi wao. Kila lakheri kwa yote!

KIITALY:

Questa รจ la fondatrice del centro dei bambini orfani di Makalala. Malaika Giovannini di Cesena - Italia. Qui nella foto insieme con i suoi bambini del centro di Makalala Children's Home.
Malaika ti auguriamo con il cuore per l'amore che hai per questi bambini che non hanno i genitori. Ti auguriamo ogni bene per tutte le cose!

No comments:

Post a Comment