Hospital ya Meldola nchini Italy, karibu na hapa ninapo ishi, yapata uamzi wa kuungana na Hospital ya Bugando ya Jiji la Mwanza - Tanzania, kwa kupigana kikamilifu na gonjwa la kansa. Madaktari wa Hospital hiyo ya Meldola wameamua kuchukua uamzi huo mzuri ili kusaidia wagonjwa mbalimbali huko Jijini Mwanza na Tanzania kwa ujumla wenye matatizo mbalimbali ya magonjwa ya kansa.
Nasi watanzania tunawashukuru kwa uamzi wao huo mzuri wa kusaidia katika tatizo hilo la kansa.
No comments:
Post a Comment