Pages

Wednesday, November 18, 2009

WANAFUNZI WA SEKONDARI WAKISAIDIA UJENZI HUKO MKOANI RUKWA.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Msakila High School, katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wakishiriki katika ujenzi wa uzio wa shule yao kwa njia ya kujitola leo.

0 idadi ya maoni: