Pages

Monday, November 23, 2009

SIKU YA HAKI YA MTOTO DUNIANI...TAARIFA YA UNICEF NCHINI TANZANIA.

IJUMAA, NOVEMBER 20.

Ujumbe wa mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, Bwana Heimo Lakkonen katika kuadhimisha miaka 20 ya mkataba wa kimataifa wa haki za mtoto.

Uamuzi wa kihistoria ulifikiwa tarehe 20 Novemba 1989 pale viongozi wa dunia waliporidhia mkataba kuhusu haki za mtoto katika mkutano mkuu.

PICHANI: Wanafunzi wa darasa la tano na la sita wa shule ya msingi Muungano wakisoma'' HAKI YA MTOTO'' wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyo fanyika katika viwanja vya Mahujaa - Dar es salaam, ijumaa.
Nasi watanzania wote tuzingatie sana haki za mtoto, si kunyanyasa watoto na kuwanyima haki zao.

HEIMO LAAKONEN
Mwakilishi wa UNICEF - TANZANIA.
November 2009.

-PICHA NA HABARI NA: FADHILI AKIDA.

0 idadi ya maoni: