Pages

Saturday, November 28, 2009

MAFURIKO SHULENI HUKO KILOSA - MOROGORO NI BALAA!

Wanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi ya Mkondoa Wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro wakiwa nyuma ya majengo ya shule hiyo baada ya kukumbwa na mafuriko, ambayo mafuriko hayo yalisababisha wanafunzi kukosa masomo kwa siku tatu mfululizo.

-Juma Mtanda.

0 idadi ya maoni: