Pages

Thursday, November 26, 2009

ELIMU YETU HII NI MGOGOLO TU HADI HURUMA!

Wanafunzi wa shule ya msingi Ihanga Wilayani Mfindi, Mkoani Iringa wakiwa wamebeba kuni kupeleka kwa mteja aliyenunua kuni hizo kutoka katika shule hiyo. Walimu hutumia muda wa masomo kufanya biashara hiyo haramu. Tabia hii mpaka lini? Kwa namna kama hii tutaendelea kweli? Duh, Waziri upo????

-Hakumu Mwafongo - IRINGA.

0 idadi ya maoni: