Pages

Wednesday, October 7, 2009

WATOTO HAWA WATAKWENDA SHULE WAKATI GANI?

Watoto wadogo kabisa, wenye umri wa kwenda shule, huko mkoani Mbeya, walikutwa wakigonga mawe kwaajili ya kupata kokoto walizokuwa wakiziuza sh.1000 kwa debe. Kwakweli hali hii ni ya kusikitisha sana katika Taifa letu. Je hawa watoto wataweza kwenda shule?

-Picha na Michael Jamson.

0 idadi ya maoni: