Pages

Wednesday, October 14, 2009

TUNAKUKUMBUKA SANA BABA YETU MPENDWA WETU WA TAIFA LETU LA TANZANIA. MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE. 1922-1999.

Leo tunakumbuka ile siku ya tarehe 14/10/1999. Tangu ulipo tutoka hapa duniani, ni miaka kumi sasa, tunakukumbuka sana Baba yetu mpendwa Mwl.Nyerere, Baba wa Taifa letu la Tanzania, wewe ni kioo chetu cha kujivunia utaifa wetu. Tutaendelea kuku kumbuka daima siku zote kwa hekima na busara zako Mwalimu. Asante sana kwa heshima na busara zako kwa Taifa letu la Tanzania.

HESHIMA YA MTU NI UTU WAKE, SI MALI WALA CHEO.
-BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.

0 idadi ya maoni: