Pages

Friday, October 30, 2009

RAFIKI MANUELA PAMOJA NA WATOTO WA KITANZANIA.

L'AMICA MANUELA INSIEME CON I BAMBINI TANZANIANI. Rafiki Manuela wa Bolzano-Italy, hapa kwenye picha akiwa na watoto wa kitanzania wakati alipokwenda kutembelea vijiji mbalimbali vya Tanzania. Yeye amenihadithia kwamba anapenda sana Tanzania. Nasi tunakusalimu sana na pia Tanzania inakusubiri sana daima. Karibu sana Tanzania.

KIITALY:

L'amica Manuela di Bolzano-Italia, nella foto insieme con i bambini Tanzaniani, quando ha visitato alcuni villaggi in Tanzania. Lei mi ha raccontato che ha avuto una esperienza unica in Tanzania, ama tantissimo la Tanzania. Dalla Tanzania mandiamo tanti saluti a te Manuela, poi la Tanzania ti aspetta sempre. Benvenuta in Tanzania.

-Baraka.

0 idadi ya maoni: