Pages

Tuesday, October 20, 2009

NJOO TUCHEZE NA KUSOMA PAMOJA = VIENI CHE GIOCHIAMO E STUDIAMO INSIEME.

Njoo tucheze na kusoma pamoja: Ni utambulisho wa kitabu cha watoto Tanzania, ambacho kinawafunza watoto kucheza, kusoma na kukaa pamoja bila kuwa na utofauti wowote, mahali watokapo kama ni vijijini, mijini au nje ya nchi, utofauti wa maumbile au rangi. Watoto wote ni sawa.
KIITALY:
Vieni che giochiamo e studiamo insieme: Una presentazione di un libro per i bambini in Tanzania, questo libro che insegna ai bambini a giocare, studiare e stare insieme sensa la diversità di colore, da dove provengano sia nei villaggi, città e fuori dalla Tanzania. Tutti bambini sono uguali.

0 idadi ya maoni: