Pages

Saturday, October 3, 2009

HAPPY BIRTHDAY RAFIKI MPENDWA NICO WA MAKALALA CHILDREN'S HOME.

BUON COMPLEANNO CARISSIMO NICO AMICO DI MAKALALA CHILDREN'S HOME.
Oggi è il compleanno di Nico carissimo amico di Makalala Children's Home. Lui è stato anche a Makalala, poi segue sempre questo blog.
Tanti auguri a te Nico, ti auguriamo una lunga vita piena di gioia.
-Tutti insieme qui nel blog di Makalala.
KISWAHILI.
Leo ni siku ya pekee ya kumbukumbu ya kuzaliwa rafiki yetu mpendwa wa Makalala Children's Home Nico. Na tena yeye amewahi kwenda Makalala, na ni mdau mkubwa wa hapa kwenye hii blog.
Tunakutakia maisha marefu na yenye furaha nyingi siku zote.
-Ni sisi wote hapa kwenye hii blog ya Makalala.

1 idadi ya maoni:

Anonymous said...

GRAZIEEEE BARAKA, UN GROSSO ABBRACCIO!