watoto hawa wako kwenye adhabu hapo kutokana na kuchelewa kufika shuleni.jamani hivi kweli hii ni haki??wahusika wa haki za watoto wako wapi????Monday, August 31, 2009
Haki Za Watoto Ziko Wapi??
watoto hawa wako kwenye adhabu hapo kutokana na kuchelewa kufika shuleni.jamani hivi kweli hii ni haki??wahusika wa haki za watoto wako wapi????

0 idadi ya maoni:
Post a Comment