Ni vijana wa kijiji kimmoja cha Ifakara-Tanzania, ambao wameunda kundi lao la muziki la kuburudisha watu kijijini hapo, bila ya kuwa na vyombo mhimu vya muziki. Lakini ni mahodari sana kupiga bendi yao na kuimba, huburudisha wanakijiji kijijini hapo.
KIITALY:
Sono i giovani di un villaggio di Ifakara-Tanzania, che hanno creato un gruppo per cantare e suonare senza avere tanti strumenti da potere suonare meglio. Comunque sono molto bravi a fare divertire tanta gente nel loro villaggio.
-BARAKA.
1 idadi ya maoni:
Asante kwa video hii,
Da inapendeaza kuona wachache wasio wavivu wa kufiri kutoka kiasilia hivyo. Ona wanafikisha ujumbe leo sio hapo kijijini tu hadi huku Magharibi ya mbali. Mungu wafunue hawa na wale wanaosikia haya yanaombwa wafanyie kazi.
Tusikate tamaa jamaa zangu tutafika hata ikiwa kesho.
Nawatakia kazi njema na tena Asante Baraka kutuletea hii.
Muhigo.
Post a Comment