WANAFUNZI AWAFUNDISHAO MAMAYANGU = GLI ALUNNI DELLA MIA MAMMA.
DARASA AFUNDISHALO MAMA = LA CLASSE DELLA MIA MAMMA.
MAMA YANGU = LA MIA MAMMA.
MIMI NA MAMA = IO CON LA MIA MAMMA.
Agosti 2008 mimi na marafiki zangu kutoka Modena-Italy, tulikwenda kutembelea shule ya msingi Tegeta-Dar ambayo anafundisha Mama yangu mzazi. Yeye ana darasa la watoto wapatao 78, kwasababu ya ukosefu wa madarasa na walimu. Kutokana na wingi wa watoto yeye anasema ni kazi ngumu sana kuwa na watoto wote hawa kwenye darasa moja, ukizingatia kuweza kuwatuliza watoto wote hawa mpaka wawe watulivu ni kazi kweli kweli. Lakini alisema ni kazi ya kujivunia sana kuwapa elimu watoto, hasa pindi wanapoweza kuelewa vizuri, ni furaha sana.
KIITALY:
Nel agosto 2008 io e i miei amici di Modena-Italia, siamo andati a visitare la scuola dove insegna la mia mamma, a Tegeta-Dar es salaam. Lei ha una classe numerosa di 78 bambini, per mancanza di scuole in zona. Lei dice che è molto faticosa avere tutti questi bambini in classe, soprattutto a tenerli buoni. Però dice anche una cosa bellissima è una esperienza unica ad insegnare questi bambini.
-Baraka.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment