skip to main |
skip to sidebar
Mtoto wa Mama Malaika wa Fotobaraza akitutumia picha yake nzuri sana akiwa mto Ruaha-Iringa, wakati familia yote ya mama Malaika ikiwa likizo hivi majuzi huko mkoani Iringa, wao wanaishi England-Uk. Asante sana Malaika kwa picha hii nzuri.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment