Pages

Saturday, June 6, 2009

MTOTO ALIPO SIMAMISHA MSAFARA WA RAIS KUTAKA KUONGEA NAE=UN BAMBINO CHE HA FERMATO IL PRESIDENTE(CHE STAVA PARTENDO)PER PARLARE CON LUI.

Rais wakati alikuwa akijiandaa kuondoka baada ya kuhutubia wananchi, ndipo mtoto huyu alipo jitokeza na kutaka kumsalimu na kuongea nae Rais wake. Polisi walimzuia, lakini rais mwenyewe aliwaambia wamwache aende kwake. Sasa sijui alimwambia nini, na alikuwa na shida gani, na waliongea nini wakakubaliana. Wananchi walio kuepo hapo walishangaa na kufurahi sana kwa kitendo hiki cha Rais kumsikiliza mtoto huyu.

KIITALY:

Quando il presidente stava per partire dopo che ha fatto il suo discorso per la gente, improvvisamente è arrivato questo bambino che sgridava perchè voleva parlare e salutare il suo presidente. La polizia voleva fermarlo, il presidente ha detto di lasciarlo venire. Comunque non si sà cosa si sono detti, che cosa voleva il bambino. La gente si è melavigliata ed è stata molto contenta che il Presidente ha accetato di fermarsi ad ascoltare il bambino.

0 idadi ya maoni: