


Vi salutiamo tutti quanti con grande cuore.
KISWAHILI:
Agosti ya 2008 Tulikuwa wote tuliopo hapa Makalala Children's Home. Jumamosi iliyopita tulikutana wote kwa chakula cha mchana hapa mji wa Cesena, ni fuaha ilioje kukutana tena huku ulaya. Ni vijana kutoka miji jirani ya Modena, Bologna na sisi wa hapa Cesena akiwepo pia Malaika mwanzirishi wakituo cha Makalala.
Tunawasalimu sana nyinyi nyote kwa moyo wa upendo.
-Baraka.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment