skip to main |
skip to sidebar
Ni ubunifu wa kujifunza kuhesabu namba kutumia vijiti. Wakati wa kuanza darasa la kwanza shule za msingi, mara nyingi hutumia ubunifu huu kwa kuhesabu namba, moja, mbili, tatu.....n.k.KIITALY:Che invenzione per imparare a contare i numeri usando questi piccoli bastoni!! Quando si entra nella prima elementare si usa quasi sempre questa invenzione in Tanzania. Contando, uno, due, tre.......
0 idadi ya maoni:
Post a Comment