Pages

Monday, May 11, 2009

MWANAMZIKI NA BALOZI WA MALARIA AFRIKA=LA CANTANTE E' AMBASCIATRICE DI MALARIA IN AFRICA.




Yvonne Chakachaka mwanamziki maarufu sana Afrika, akibubujikwa na machozi baada ya kutembelea wodi ya watoto katika Hospotali ya Mkoa wa Mtwara-Tanzania. Ndipo alipopata taarifa kutoka kwa Docta, ya kuwa mama mmoja aliyemleta mtoto wake Hospitalini hapo baada ya kuugua malaria na kulazwa kabla mauti kumkuta mtoto huyo. Mama huyo alilazimika kumbeba marehemu mwanae mgongoni na kurudi kijijini kwao kwa kukosa usafiri wa kumsafirisha. Chakachaka ambae ni mwanamziki kutoka Afrika ya kusini na ndie balozi wa malaria Afrika, alijitolea gari moja ili kusaidia wamama kama hao.
KIITALY:
Yvonne Chakachaka una cantante famosa in Africa, adesso anche ambasciatrice dell'Africa per la malaria. Qui nella foto canta insieme con i bambini di scuola elementare, poi nell'altra foto piange è disperata quando ha visitato l'ospedale di Regione di Mtwara-Tanzania. Il medico ha raccontato a lei che ad una mamma gli è morta la figlia di malaria, poi ha preso sulla schiena la figlia morta per tornare nel vilaggio dove vive, per mancanza di trasporti dell'ospedale. Su questa brutta storia la cantante Sudafricana Yvonne Chakachaka ha deciso di dare la macchina come sua regalo all'ospedale di Mtwara per fare tutti i servizi per la gente che si trova in difficoltà come questa mamma che ha perso la sua figlia, perchè non è arrivata in tempo in ospedale per motivo della distanza che c'è tra il vilaggio è l'ospedale.


0 idadi ya maoni: