Pages

Friday, April 10, 2009

WATOTO WALEMAVU WA KITUO CHA MLALI-DODOMA=I BAMBINI DISABILI DEL CENTRO DI MLALI-DODOMA.

ILENIA CON UN BIMBO = ILENIA NA MTOTO.
ILENIA E ANNA CON I BAMBINI = ILENIA NA ANNA NA WATOTO.

ANNA CON I BAMBINI = ANNA NA WATOTO.


Ilenia na rafiki yake Anna, kutoka Modena hadi Mlali kwaajili ya watoto walemavu. Hiki kituo cha Mlali ni kituo cha mhimu sana kwa Tanzania yetu kwa watoto kama hawa walemavu. Ilenia ni msichana wa kutoka Modena ni mnyoosha viungo, karibu kila mwaka huenda Mlali na Makalala kusaidia hawa watoto walemavu na yatima.
KIITAY:
Ilenia con la sua amica Anna, da Modena a Mlali per i bambini disabili. Questo centro di Mlali è molto importante in Tanzania per i bambini disabili. Ilenia è una ragazza di Modena fisioterapista che ogni anno durante le sue ferie va giù a Mlali è Makalala a dare una mano.
-Baraka.





0 idadi ya maoni: