Pages

Thursday, April 30, 2009

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAJERUHI WA MABOMU TEMEKE.

Rais Jakaya Kikwete akimchekesha mtoto mgonjwa ambaye amelazwa hospitali ya Wilaya ya Temeke, baada ya kuathirika kwa mlipuko wa mabomu yaliyotokea jana mchana katika ghala la kuhifadhi silaha katika kambi ya jeshi huko Mbagala jijini Dar es salaam. Pembeni aliyeketi na mtoto Miriam ni mama yake Husna Selemani, mkazi wa Mtoni Mtongani-Dar es salaam.

0 idadi ya maoni: