Pages

Saturday, April 11, 2009

NSSF IRINGA WATEMBELEA YATIMA KWA PASAKA HII.

Meneja wa shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii ( NSSF) wa Mkoa wa Iringa, Bathow Mmuni akitembea na baadhi ya watoto yatima wa kituo cha Daily Bread Life Ministry cha mjini Iringa, ndani ya kituo hicho baada ya kukabidhi chakula cha msaada kwa watoto hawa yatima.



-Picha na habari na Frank Leonard.

0 idadi ya maoni: