PICHA YA AIRPORT ROMA-ITALY.
PICHA YA REGGIO CALABRIA-ITALY.
Alikuwa ni mmissionari wa Precious Blood ambaye alifanya kazi kwa miaka mingi Tanzania, alisaidia sana Familia mbalimbali hasa watoto wenye shida. Sisi tulikupenda sana...lakini pia Mungu amekupenda zaidi na kukuita kwake kwenye makao yake ya milele. Amefariki jumamosi usiku, ambapo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya kichwa, na mazishi yanafanyika leo hii jumatatu jioni, huko nyumbani kwake Bari-Italy. Alikuwa ni mtu wa watu na watu walimpenda sana hasa kwa Tanzania, ni pigo kubwa sana. Tutakukumbuka daima kwa mema yako mengi.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho yako Fr.Tonino, Amina!
KITALY:
Era un missionario del Preziosissimo Sangue di S.Gaspare, in cui ha lavorato tanti anni come missionario in Tanzania, ha aiutato molte famiglie soprattutto i bambini in difficoltà. E' morto sabato notte, oggi pomeriggio ci sono i funerali a Bari dove era nato. Noi ti abbiamo amato tanto, però Dio ti ama di più perchè ti ha voluto vicino a lui., noi ti ameremo sempre. E' morto per una malatia del cervello, era un prete per la gente, soprattutto in Tanzania dove ha vissuto tanti anni.
Riposi in Pace Don.Tonino, Amen!
-Baraka.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment