Pages

Saturday, April 4, 2009

MAMA MOLLEL ZIARANI KYELA.


Katibu Mkuu ofisi ya makamu wa Rais, Bi.Ruth Mollel akizungumzu na wanafunzi wa shule ya Secondari ya Matema Beach, alipokuwa na ziara ya kukagua mazingira huko Matema, Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya leo.
Picha na habari:
-Mdau Ali Meja.

0 idadi ya maoni: