Pages

Friday, April 3, 2009

MAMA GETRURDE MONGELLA DARASANI.


Nani alikueleza ujuzi unazeeka? Hebu mwangalie mama yetu Balozi na pia ni Dk.Getrurde Mongella, ambaye kitaaluma ni mwalimu. Hapa alipo tembelea shule ya msingi ya Getrurde Mongella iliyopo Nyamagana-Mwanza, kata ya Pamba ambayo ilipewa jina lake. Aliamua kwenda kufundisha darasa la kwanza. Lakini Mhmm...alisahau akaingia na mkoba darasani.
Picha na Mdau Frederick M.katulanda.
-Habari kwa Mkuu Issa Michuzi.

0 idadi ya maoni: