Pages

Saturday, April 18, 2009

BENDI YA MAPIPA YA KUFA MTU YA WATOTO YATIMA WA MIYUJI-DODOMA=UNA BANDA DI MUSICA PER I BAMBINI ORFANI DI MIYUJI-DODOMA.TANZANIA.

Wakiwa kwenye mazoezi.

Hawa watoto ni hodari sana kwa kutumbwiza mziki, mara nyingi hutumbwiza kwenye sherehe mbalimbali Dodoma. Ni watoto yatima wa kituo cha masista wa orsorine, huko Miyuji-Dodoma.
Hongereni sana watoto kwa bendi hii nzuri. Kila lakheri!

0 idadi ya maoni: