Pages

Tuesday, April 7, 2009

ADHABU NYINGINE BWANA YAANI WE ACHA TU, MATESO MATUPU.=PUNIZIONE A SCUOLA.

Yaani nakumbuka sana shule na adhabu zake, adhabu nyingine ni mateso makubwa sana. Sasa hapa kweli kuna mafunzo gani?

Questo è una punizione famosa a scuola in Tanzania, bisogna stare cosi almeno un ora.



0 idadi ya maoni: