Pages

Monday, March 23, 2009

MAISHA NI KUSAIDIANA BWANA! TENA KWA SANA TU!

Leo katika pitapita zangu za mtaa kwa mtaa nikakutana na hii.
Nilikutana na wawili hawa wapendanao wakiwa wamebeba watoto wao kila mmoja katika migongo yao. Nimefurahi sana na nilifarijika sana kuona wawili hawa wakitoa darasa kwa akina sisi, japo si kwa kuambiwa kwa maneno bali kwa kuona kwa vitendo. Kwani hiki kitendo tu ni darasa tosha kabisa kwetu. Big apuu sana kwa wawili hawa kwani kitu walichokifanya ni kitu cha faraja sana katika upendo kwenye familia.

-By Mtaa kwa Mtaa.
Jr.Michuzi.

0 idadi ya maoni: