Pages

Tuesday, March 24, 2009

MAISHA NDIVYO YALIVYO TUKAZE MWENDO IPO SIKU TUTAFIKA.



Mara nyingi humo ninamopitapita hukutana na Watanzania wenzangu wanaotembea kwa miguu kilomita kwa kilomita (nyingi). Huwa kuna mawili: hakuna usafiri au hawana nauli. Pichani ni barabara ya kwenda Mpwapwa. Dodoma.
-Picha na habari Bro.Mjengwa.

0 idadi ya maoni: