Machi 8. Ni siku inayowakumbusha wanawake wa duniani umuhimu wa kuendeleza mapambano ya kujikomboa. Ni siku inayo tukumbusha wanaume kuwapenda wanawake, na kufanya wajibu wetu vizuri katika familia zetu. Na kama kweli unampenda umpendaye basi umjali, na kumjali ni pamoja na kushiriki majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulea watoto vizuri ipasavyo.
-Picha na habari Mjengwa.
http://www.mjengwa.blogspot.com/.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment