Pages

Saturday, March 28, 2009

FAHARI YETU TANZANIA - MIKUMI NATIONAL PARK.


Barabara kuu ya Morogoro-Iringa hupita katikati ya mbuga ya wanyama ya Mikumi, ni raha sana Tanzania yetu kuwa na mambo mazuri kama haya.
Picha hii imepigwa jana asubuhi na:
-Picha na Bro.Mjengwa.

0 idadi ya maoni: