Pages

Friday, February 27, 2009

WATOTO WA MITAANI HAWA. WA MBEYA-TANZANIA. = QUESTI SONO BAMBINI DI STRADA. DI MBEYA-TANZANIA.

Watoto hawa wa mitaani hawana Baba, hawana Mama, hawana makazi maalum lakini wamejaa furaha. Mbona wenye pesa zao zote, nyumba nzuri, magari ya kifahari, ajira za uhakika na wenzi waliojitosheleza wanalalamika kila siku kwamba maisha magumu? Tulia, mushukuru Mwenyezi Mungu wako kwa kile kidogo ulichonacho. Halafu endelea kuchakalika, bila kusahau kusaidia ambao hawana hata hicho ulicho nacho.

-PICHA HABARI NA FOTOBARAZA.

0 idadi ya maoni: