Pages

Tuesday, February 3, 2009

MARAFIKI WA MAKALALA = AMICI DI MAKALALA.


Moja ya marafiki wa Makalala Children's Home, kutoka Modena- Italy na Tanzania, mimi, Ritha(mtanzania), Francesco(mwenye nyekundu), Irenia na Anna. Hapa tulikuwa Dar es salaam tukitokea Makalala. Tunawasalimu nyote!
Amici di Makalala Children's Home, da Modena-Italia e Tanzania, sono io, Ritha(tanzaniana), Francesco(Rosso), Irenia e Anna. Qui eravamo a Dar es salaam arrivati da Makalala. Vi salutiamo Tutti!

0 idadi ya maoni: