Pages

Monday, February 2, 2009

MALAIKA NA WATOTO WAKE MAKALALA = MALAIKA CON I SUOI BAMBINI A MAKALALA.

Dada Malaika ( kama wamwitavyo Hapo Makalala hasa watoto) mwanzilishi wa kituo cha watoto yatima, hadi sasa yeye anaishi hapo hapo kituoni Makalala na watoto hawa yatima. Hongera sana dada Malaika kwa kupata wazo zuri kama hili lakusaidia watoto hawa yatima, kwa Tanzania kwakweli ni shida kubwa sana la watoto yatima kila mwaka wanazidi kuongezeka idadi.


Dada Malaika (come lo chiamano a Makalala soprattutto i bambini). Dada sigifica sorella. Lei la fondatrice di questo centro per bambini orfani di Makalala, fino adesso lei vive proprio lì al centro insieme con questi bambini orfani. Tantissimi complimenti a dada Malaika per avvere avuto questa bella idea per aiutare i bambini veramente che hanno bisogno di essere aiutato. Per la Tanzania veramente una grande difficoltà per questi bambini orfani che si aumentanno ogni anno.

Malaika canta insieme con i suoi belli bambini = Malaika akiimba pamoja na watoto wake wazuri.

0 idadi ya maoni: