Pages

Saturday, January 17, 2009

SASA UNAINGIA MJI KASORO BAHARI-MKOANI MOROGORO-TANZANIA.

Hapa unatoka Mkoani Iringa kuelekea Morogoro, na unakaribishwa Morogoro.
Barabara kuu Iringa-Morogoro. Watoto wakikatiza barabara bila usalama wowote hii ni hatari sana, na mara nyingi hutokea vifo hasa vya watoto kwa kugongwa na magari. Swala hili lifanyejwe?


Stendi kuu ya mabasi Msamvu ya Mkoani Morogoro.


0 idadi ya maoni: