Pages

Saturday, January 3, 2009

PEACEGLORY ASHEREHEKEA HEPI BETHDEI YA KUZALIWA NA YATIMA=PEACEGLORY HA FESTEGGIATO IL COMPLEANNO CON I ORFANI.

Mtoto Peaceglory Mahimbo akionekana mwenye furaha katika kukumbuka siku yake ya kuzaliwa, akiwa na wenzake watoto yatima wa kituo cha Msimbazi Centre-Dar es salaam ambapo ndipo walipomuamulia wazazi wake akasherehekee nao siku hiyo ya tarehe 01.01.2009 alipo timiza mwaka mmoja, katika kumuandaa na maisha ya kuwakumbuka na kuwajali wenye shida.

La bimba Peaceglory Mahimbo si vede con la gioia di festeggiare il compleanno insieme con gli altri bambini orfani di Msimbazi Centre-Dar es salaam, quando hanno deciso i suio genitori addotivo per festeggiare insieme 01.01.2009 quando ha compiuto un anno, questo per ricordare la vita di quelli che non hanno la possibilità. Lei e stata addotata da questo centro.



Mtoto Peaceglory akiwa na wazazi wake Mr & Mrs Mahimbo, katika kituo hicho siku ya mwaka mpya wakifurahi siku ambayo Mungu aliwapa zawadi ya mtoto huyo ambaye walimsubiri kwa muda mrefu.



La bimba Peaceglory insieme con i genitori addotivo i signori Mahimbo, a questo centro il giorno di capodanno con la gioia quando Dio gli ha donato questa bella regalo di questa bambina, aspettavano da tanto tempo.





Hongera Peaceglory, hongera wazazi kwa kufikiria walio na shida, katika siku ya furaha ya mtoto wenu. Huu ni mfano wa kuigwa kabisa.

-MICHUZI.

0 idadi ya maoni: