Pages

Monday, January 26, 2009

MTOTO YUPO BIZE NA BIASHARA ATASOMA WAKATI GANI?

Watoto walio wengi Tanzania huwa wapo bize sana na biashara mbalimbali, wakati mwingine hadi usiku, mimi huwa najiuliza sana wanasoma wakati gani? Na hii ni haki kwa watoto hawa?

0 idadi ya maoni: