Sunday, January 11, 2009
MARAIS WA MAREKANI WALIPOKUTANA KWA CHAKULA CHA MCHANA.
Rais George Bush, januari saba alitekeleza ushauri wa Rais mteule Barack Obama wa kuita marais wote waliohai wa Marekani. Baada ya chakula cha mchana walipata nafasi ya kupiga picha ya pamoja kwa kumbukumbu maalum. Ndani ya picha ni Rais George W.Bush (katikati) akiwa na Barack Obama (wapili kushoto) Rais wa zamani George H.W.Bush (kushoto) Bill Clinton na Jimmy Carter (kulia). Kitendo hiki cha kukutanisha marais waliohai hakijawahi kuonekana kwa mda mrefu sasa katika Ikulu ya Marekani toka mwaka 1981.
-HABARI NA BEDA MSIMBE.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment