skip to main |
skip to sidebar
Basi la Tashriff T 768 ALW ambalo liliparamia lori la magogo(chini) majuzi katika eneo la Hale Wilayani Mheza Mkoani Tanga, na kusababisha vifo vya abiria wake 27 na majeruhi wengine 23, likiwa katika kituo cha polisi Hale.
Lori la magogo T 594 APA ambalo liliparamiwa na Basi la Tashriff hilo hapo juu kwenye picha.
Hii ilitokea mwaka jana maeneo ya nane nane Morogoro. Mabasi yetu ya Tanzania yanakimbia sana tena bila kufuata sheria za barabara, pia mabovu lakini yako tuu barabarani. Na kuuwa watu wapendwa wetu wasio na hatia.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment