Mtu na dadae Alexandra na Natasha, wakitusalimu na kututakia Heri ya Noeli na Mwaka mpya wa 2009, kutoka huku kwenye barafu ya kutosha sana Welsberg/Taisten-Bozen. Hawa wamezaliwa Tanzania na kukulia huko, ni nusu watanzania, wakati wazazi wao walipo kuwa wakifanya kazi huko Tanzania. Sasa wapo huku kwenye barafu yakutosha.
Le sorelle Alexandra e Natasha, ci salutano e ci augurano Buon Natale e Felice Anno Nuovo 2009, dove c'e' molto neve Welsberg/Taisten-Bolzano. Loro sono nate e crescute in Tanzania, sono mezze Tanzaniane, quando i loro genitori lavoravano in Tanzania. Adesso sono qui dove c'e' molto neve.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment