Pages

Thursday, December 18, 2008

NOELI. X-MAS, YANUKIA NUKIA.


Mapambo ya mji wa Cesena si sana, lakini panapendeza.

Mimi na marafiki chakula cha usiku, kabla ya kuanza rikizo ya x-mas. Kila mtu hutawanyika ki vyake hapa tunaagana, kukutana tena january Mungu akipenda.


2 idadi ya maoni:

Anonymous said...

bro! kiswahili unatuharibia sio rikizop ni likizo ala!

Anonymous said...

Asante sana kwa kunisahihisha. Kiswahili kigumu sana si unajua tena. Mimi sitaki kuwaharibia kabisa ila ndo hivyo ni kigumu naomba uendelee kunisaidia nikoseapo. Asante sana.
Chibiriti.